عن عُبَيْدِ اللهِ بْنِ مِحْصَنٍ الخَطْمِيِّ رضي الله عنه، عن النبيِّ ﷺ قال: «مَنْ أَصْبَحَ آمِنًا فِي سِرْبِهِ، مُعَافًى فِي جَسَدِهِ، عِنْدَهُ طَعَامُ يَوْمِهِ، فَكَأَنَّمَا حِيزَتْ لَهُ الدُّنْيَا»

Kutoka kwa Ubayd Allah bin Muhsin al-Khatmi, kutoka kwa Mtume Swalla Allaahu alayhi wa sallam amesema:

“Mwenye kuamka asubuhi akiwa na Amani, mwenye afya njema katika mwili wake, ana chakula cha siku yake, hivyo ni kana kwamba amemilikishwa dunia.”


Muhtasari wa Maana

Usalama, ustawi, na riziki ni neema ambazo watu wengi hawajui thamani yake.

Miradi ya Hadithi