عن زيدِ بنِ ثابتٍ، قال: سمعتُ رسولَ الله ﷺ يقول: «نضَّر اللهُ امرأً سَمِعَ منَّا حديثًا، فحفِظَه حتى يُبلِّغَه؛ فرُبَّ حاملِ فِقهٍ إلى مَن هو أفقهُ منه،ورُبَّ حاملِ فِقهٍ ليس بفقيهٍ».
عن زيدِ بنِ ثابتٍ، قال: سمعتُ رسولَ الله ﷺ يقول: «نضَّر اللهُ امرأً سَمِعَ منَّا حديثًا، فحفِظَه حتى يُبلِّغَه؛ فرُبَّ حاملِ فِقهٍ إلى مَن هو أفقهُ منه،ورُبَّ حاملِ فِقهٍ ليس بفقيهٍ».
Kutoka kwa Zaid ibn Thabit radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake amesema: nilimsikia Mtume wa Mwenyezi Mungu rehma na Amani ziwe juu yake akisema:
1. Mwenyezi Mungu amnawirishe mtu yeyote atakaesikia maneno kutoka kwetu, na akayahifadhi kwa ajili ya kuwafikishia watu wengine;
2. Basi huwenda msikilizaji (aliehifadhi vizuri) akawa sio mjuzi zaidi lakini kwa kuhifadhi kwake akawafikishia wengine ambao ni wajuzi zaidi katika kutohoa hukumu za kisheria kuliko yeye.
. Na huwenda msikilizaji akawa sio msomi zaidi
Ni Abuu Saidi, Zaid Ibn Thabit Ibn Al-Dhwaha-ki, Al-Answariy, An-Najariy, Al-Madaniy, alikua akiandika ufunuo (wahyi) kwa niaba ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w), Alifika Mtume (s.a.w) katika mji wa madina haliyakua yeye ana umri wa miaka kumi na moja (11), Alishiriki Vita Vya Uhudi na vita nyingine baada yake, na alikua ni kiongozi wa ummati Muhammad (s.a.w) kielimu,kifiqihi, fani ya mirathi,na ilisemekana kwamba vita yake ya kwanza ni vita ya handaki, na yeye ni mmoja wa maswaha-ba ambao waliikusanya qur’ani kipindi cha uhai wa Mtume Muhammad (s.a.w), alikufa mwaka: (45:h)(1)