عن أبي هُرَيرةَ رضي الله عنه قال: قال رسول الله ﷺ:  «مَن صام رَمَضَانَ إيمانًا واحتسابًا، غُفِرَ له ما تَقَدَّم من ذَنْبه، ومَن قام ليلةَ القَدر إيمانًا واحتسابًا، غُفِر له ما تقدَّم من ذَنْبه». 

وعن أبي هُريرةَ رضي الله عنه أيضًا، أن النبيَّ ﷺ قال:  «مَن قام رمضانَ إيمانًا واحتسابًا، غُفِرَ له ما تقدَّم من ذَنْبه».

Kutoka kwa Abu Huraira Mwenyezi Mungu awe radhi naye amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu rehma na Amani zimfikie:

1. “Mwenye kufunga Ramadhani kwa imani na kwa kutaraji malipo, atasamehewa madhambi yake yaliyotangulia. 2. Mwenye kuswali usiku wa cheo kwa imani na kwa kutaraji malipo, basi atasamehewa madhambi yake yaliyotangulia”  Kutoka kwa Abu Huraira Mwenyezi Mungu awe radhi naye amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu rehma na Amani zimfikie: 3. “Mwenye kuswali usiku wa cheo kwa imani na kwa kutaraji malipo, basi atasamehewa madhambi yake yaliyotangulia”

Muhtasari wa Maana

Mtume amani iwe juu yake anafahamisha kwamba mwenye kufunga Ramadhani kwa kuamini kuwa ni jambo la wajibu juu yake, akitaraji malipo kutoka kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu, Mwenyezi Mungu atamsamehe madhambi yake yaliyotangulia, na mwenye kukesha usiku wa cheo pia. kwa kuamini, na akitaraji malipo kutoka kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu, atasamehewa madhambi yake yaliyotangulia. Inafaa zaidi kwa mwenye kuswali Ramadhani nzima; Pia atasamehewa madhambi yake yaliyotangulia.

Miradi ya Hadithi