عن جَابِر بن عبد الله رضي الله عنهما قال: سَمِعْتُ النَّبِيَّ ﷺ يَقُولُ: «بَيْنَ الرَّجُلِ وَبَيْنَ الشِّرْكِ وَالْكُفْرِ تَرْكُ الصَّلَاةِ»
عن جَابِر بن عبد الله رضي الله عنهما قال: سَمِعْتُ النَّبِيَّ ﷺ يَقُولُ: «بَيْنَ الرَّجُلِ وَبَيْنَ الشِّرْكِ وَالْكُفْرِ تَرْكُ الصَّلَاةِ»
kutoka kwa Jabir bin Abdillah, Mwenyezi Mungu awe radhi nao wote wawili, amesema:
“Nimemsikia Mtume Rehema na Amani zimshukie akisema: “Baina ya mtu na ushirikina na ukafiri ni kuacha Swalah” .
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu
238." Zilindeni Sala, na khasa Sala ya katikati, na simameni kwa ajili ya Mwenyezi Mungu nanyi ni wenye kuqunuti (kunyenyekea). "
[Al-Baqarah: 238]
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu
"Kila nafsi itafungika (Motoni) kwa (amali mbovu) ilizozichuma 39. ~sipokuwa watu wa kuliani (watu wa kheri) 40. (Hao watakuwa) katika Mabustani, wakiulizana 41 . Juu ya watu wabaya ( wawaambie): 42. "Ni kipi kilichokupelekeni Motoni? 43· Watasema: "Hatukuwa miongoni mwa waliokuwa wakisali "
[Al-Muddathir: 38-43]