عن أبي هريرة رضي الله عنه قال: قال النبيُّ ﷺ: «مَن حَجَّ هذا البيتَ فلم يَرفُثْ، ولم يفسُقْ، رجَعَ كيومِ ولَدَتْهُ أمُّهُ

Kutoka kwa Abu Hurairah Mwenyezi Mungu awe radhi naye amesema: Amesema Mtume Rehma na Amani ziwe juu yake: “Mwenye kuhiji kwenye Nyumba hii na wala asifanye uchafu au uovu, atarejea kama siku ile alipozaliwa na mama yake.” 

Vitendawili vya Qur'ani Vinavyohusiana

Amesema Mwenyezi Mungu mtukufu: “Na timizeni Hija na Umra kwa ajili ya Mwenyezi Mungu”.

[Al-Baqarah: 196]

Pia akaseme allah aliye tukuka : “Hija ni miezi maalumu. Na anaye kusudia kufanya Hija katika miezi hiyo, basi asiseme maneno machafu wala asifanye vitendo vichafu wala asibishane katika Hija. Na kheri yoyote mnayo ifanya Mwenyezi Mungu anaijua. Na jitengezeeni zawadi. Na hakika bora ya zawadi ni uchamngu. Na nicheni Mimi, enyi wenye akili” .

[Al-Baqarah: 197]

Miradi ya Hadithi