عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رضى الله عنه، عَنِ النَّبِيِّ ﷺ قَالَ: «بَادِرُوا بِالْأَعْمَالِ سِتًّا: الدَّجَّالَ، وَالدُّخَانَ، وَدَابَّةَ الْأَرْضِ، وَطُلُوعَ الشَّمْسِ مِنْ مَغْرِبِهَا، وَأَمْرَ الْعَامَّةِ، وَخُوَيْصَةَ أَحَدِكُمْ»

Kutoka kwa Abu Hurayrah Mwenyezi Mungu awe radhi naye amesimulia kutoka kwa Mtume Rehma na Amani zimshukie amesema:
“Harakisheni kutenda matendo mema kabla ya kudhihiri mambo sita: Kuonekana Masihi DajjalKudhihiri Moshi,Kutokea Mnyama katika dunia,Jua Kuchomoza kutoka magharibi.Amri ya watu wote,Kifo cha mmoja wenu
Mtume Rehma na Amani zimshukie ametaja baadhi ya alama za Kiyama zitakazokuja kwa ghafla, na Mtume Rehma na Amani zimshukie anawaamrisha watu wake kuharakisha kutenda matendo ya kheri kabla ya kuonekana dalili hizo.