عَنِ ابْنِ عَبَّاسٍ رضي اللَّه عنهمَا، عَنِ النَّبِيِّ قَالَ: «أَلْحِقُوا الفَرَائِضَ بِأَهْلِهَا، فَمَا بَقِيَ فَهُوَ لِأَوْلَى رَجُلٍ ذَكَرٍ» 

Kutoka kwa Ibn Abbas, Mwenyezi Mungu awawie radhi wote wawili, kutoka kwa  Mtume, rehema na amani zimshukie, amesema: “gaweni mitathi kwa kufuata wajibu kwa wale wanaostahiki, na chochote kinachobakia ni haki ya mwanamume

Muhtasari wa Maana

Mtume Amani iwe juu yake anawaamrisha wenye mamlaka ya kugawa mirathi wawape mafungu wamiliki wao kwanza, kisha kinachobakia wapewe ndugu wa marehemu.

Miradi ya Hadithi