عَنْ عَائِشَةَ رضي الله عنها قَالَتْ: «كَانَ النَّبِيُّ يُعْجِبُهُ التَّيَمُّنُ فِي تَنَعُّلِهِ، وتَرَجُّلِهِ، وطُهُورِهِ، وفِي شَأْنِهِ كُلِّهِ»

Kutoka kwa Aisha, Mwenyezi Mungu amuwiye radhi, amesema: “Mtume Swalla Allaahu alayhi wa sallam alipendelea upandelea upande wa kulia katika kuvaa viatu vyake, kuchana kwake nywele, kujitoharisha kwake, na katika mambo yake yote”

Vitendawili vya Qur'ani Vinavyohusiana

Amesema Mwenyezi Mungu mtukufu: “Na akiwa katika watu wa upande wa kulia (90) Basi ni Salamu kwako uliye miongoni mwa watu wa upande wa kulia”

[Al-Waqi’ah: 90, 91]

Miradi ya Hadithi