عَنْ عَائِشَةَ رضي الله عنها قَالَتْ: «كَانَ النَّبِيُّ يُعْجِبُهُ التَّيَمُّنُ فِي تَنَعُّلِهِ، وتَرَجُّلِهِ، وطُهُورِهِ، وفِي شَأْنِهِ كُلِّهِ»

Kutoka kwa Aisha, Mwenyezi Mungu amuwiye radhi, amesema: “Mtume Swalla Allaahu alayhi wa sallam alipendelea upandelea upande wa kulia katika kuvaa viatu vyake, kuchana kwake nywele, kujitoharisha kwake, na katika mambo yake yote”

Muhtasari wa Maana

Kuanzia na upande wa kulia ni Sunnah yenye heshima ya kinabii.

Miradi ya Hadithi