عن النَّوَّاس بن سَمْعانَ رضي الله عنه قال: سألتُ رسولَ الله ﷺ عن البِرِّ والإثمِ، فَقالَ: «البِرُّ حُسْنُ الخُلُقِ، والإِثْمُ ما حاكَ في صَدْرِكَ، وَكَرِهْتَ أَنْ يَطَّلِعَ عليه النَّاسُ».

Kutoka kwa Al-Nawwas bin Samaan, Allah amuwiye radhi, amesema: 1- Nilimuuliza Mtume rehma na amani zimshukie kuhusu wema na dhambi. 2- Akasema: “Wema ni kuwa na tabia njema. 3- Na dhambi ni ile inayokutia wasiwasi kifuani mwako, na unachukia watu kuijua”

Vitendawili vya Qur'ani Vinavyohusiana

Amesema Mwenyezi Mungu“Sio wema kuwa mnaelekeza nyuso zenu upande wa mashariki na magharibi. Bali wema ni wa anaye muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho na Malaika na Kitabu na Manabii, na anawapa mali, kwa kupenda kwake, jamaa na mayatima na masikini na wasafiri, na waombao, na katika ugombozi, na akawa anashika Sala, na akatoa Zaka, na wanao timiza ahadi yao wanapo ahidi, na wanao vumilia katika shida na dhara na wakati wa vita; hao ndio walio sadikisha, na hao ndio wajilindao”

[Al-Baqara: 177]

Miradi ya Hadithi