عن طارقِ بنِ شهابٍ قال: جاء رجُلٌ من اليهودِ إلى عمرَ رضى الله عنه، فقال: يا أميرَ المؤمنِينَ، آيةٌ في كتابِكم تَقرؤونها، لو علينا نزلت معشرَ اليهود، لاتَّخَذْنا ذلك اليومَ عيدًا. قال: وأيُّ آيةٍ؟ قال: {الْيَوْمَ أَكْمَلْتُ لَكُمْ دِينَكُمْ وَأَتْمَمْتُ عَلَيْكُمْ نِعْمَتِي وَرَضِيتُ لَكُمُ الْإِسْلَامَ دِينًا} [المائدة: 3].فقال عمر رضى الله عنه: إني لأعلمُ اليومَ الذي نزلتْ فيه، والمكانَ الذي نزلتْ فيه: نزلتْ على رسول الله بعرفاتٍ في يوم جُمعة.

Kutoka kwa Tariq bin Shihab amesema:

  1. Alikuja Myahudi mmoja kwa Omar, Mwenyezi Mungu awe radhi naye akasema: Ewe Amirul-Muuminina, katika kitabu chako kuna Aya unayoisoma.  2. Akasema Omar: Aya gani? Akasema: “Leo nimekukamilishieni Dini yenu, na kukutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni Uislamu uwe ndio Dini yenu” [Al-Maidah: 3]. 3.Akasema Omar, Mwenyezi Mungu amuwiye radhi: Naijua siku ilipoteremshwa, na mahali ilipoteremshwa: Imeteremshwa kwa Mtume wa Swalla Allaahu alayhi wa sallam katika Arafah, siku ya Ijumaa .

Vitendawili vya Qur'ani Vinavyohusiana


Mwenyezi Mungu Mtukufu anasema: 

“Au wanawahusudu watu kwa yale aliyo wapa Mwenyezi Mungu kwa fadhila yake? Basi tuliwapa ukoo wa Ibrahim Kitabu na hikima na tukawapa utawala mkubwa (54) Basi wapo miongoni mwao waliyo yaamini, na wapo walio yakataa. Na Jahannamu yatosha kuwa ni moto wa kuwateketeza”

[An-Nisa: 54, 55].

Na akasema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

“Leo nimekukamiliishieni Dini yenu, na nimekutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni UISLAMU uwe ndiyo Dini.”

[Al-Ma’idah: 3].

Miradi ya Hadithi