عن طارقِ بنِ شهابٍ قال: جاء رجُلٌ من اليهودِ إلى عمرَ رضى الله عنه، فقال: يا أميرَ المؤمنِينَ، آيةٌ في كتابِكم تَقرؤونها، لو علينا نزلت معشرَ اليهود، لاتَّخَذْنا ذلك اليومَ عيدًا. قال: وأيُّ آيةٍ؟ قال: {الْيَوْمَ أَكْمَلْتُ لَكُمْ دِينَكُمْ وَأَتْمَمْتُ عَلَيْكُمْ نِعْمَتِي وَرَضِيتُ لَكُمُ الْإِسْلَامَ دِينًا} [المائدة: 3].فقال عمر رضى الله عنه: إني لأعلمُ اليومَ الذي نزلتْ فيه، والمكانَ الذي نزلتْ فيه: نزلتْ على رسول الله بعرفاتٍ في يوم جُمعة.

Kutoka kwa Tariq bin Shihab amesema:

  1. Alikuja Myahudi mmoja kwa Omar, Mwenyezi Mungu awe radhi naye akasema: Ewe Amirul-Muuminina, katika kitabu chako kuna Aya unayoisoma.  2. Akasema Omar: Aya gani? Akasema: “Leo nimekukamilishieni Dini yenu, na kukutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni Uislamu uwe ndio Dini yenu” [Al-Maidah: 3]. 3.Akasema Omar, Mwenyezi Mungu amuwiye radhi: Naijua siku ilipoteremshwa, na mahali ilipoteremshwa: Imeteremshwa kwa Mtume wa Swalla Allaahu alayhi wa sallam katika Arafah, siku ya Ijumaa .

Muhtasari wa Maana

Ni: Abu Hafs, Umar bin Al-Khattab bin Nufail, Al-Qurashi, Al-Adawi, ambaye anakutana na Mtume wa Mwenyezi Mungu, swala na salamu zimshukie, huko kwa Ka'b bin Luay, Al-Farouq, ni wa pili katika Makhalifah walioongoka, na wa kwanza kuitwa Amirul-Muuminina, na ni waziri wa Mtume Swalla Allaahu alayhi wa sallam, alifariki mwaka wa (23 Hijiriya)[1]

references

  1. Ni: Abu Hafs, Umar bin Al-Khattab bin Nufail, Al-Qurashi, Al-Adawi, ambaye anakutana na Mtume wa Mwenyezi Mungu, swala na salamu zimshukie, huko kwa Ka'b bin Luay, Al-Farouq, ni wa pili katika Makhalifah walioongoka, na wa kwanza kuitwa Amirul-Muuminina, na ni waziri wa Mtume Swalla Allaahu alayhi wa sallam, alifariki mwaka wa (23 Hijiriya)


Miradi ya Hadithi