عَنْ عَائِشَةَ رضي الله عنها قَالَتْ: «كَانَ النَّبِيُّ ﷺ يُعْجِبُهُ التَّيَمُّنُ فِي تَنَعُّلِهِ، وتَرَجُّلِهِ، وطُهُورِهِ، وفِي شَأْنِهِ كُلِّهِ»
عَنْ عَائِشَةَ رضي الله عنها قَالَتْ: «كَانَ النَّبِيُّ ﷺ يُعْجِبُهُ التَّيَمُّنُ فِي تَنَعُّلِهِ، وتَرَجُّلِهِ، وطُهُورِهِ، وفِي شَأْنِهِ كُلِّهِ»
Kutoka kwa Aisha, Mwenyezi Mungu amuwiye radhi, amesema: “Mtume Swalla Allaahu alayhi wa sallam alipendelea upandelea upande wa kulia katika kuvaa viatu vyake, kuchana kwake nywele, kujitoharisha kwake, na katika mambo yake yote”
1. Rejea ufafanuzi wake Katika: "Al iaswaaba Fi Ma`arifat Al'as-haabi"” cha Ibn Abd al-Bar (4/1881), "'Asad Alghabat Fi Maerifat Alsahabati" cha Ibn al-Athiir (7/186) , “Al-Isbah fi Takma` al-Sahaba” cha Ibn Hajar (8/232).