عن مَعْقِلِ بْنِ يَسَارٍ رضي الله عنه ، قَالَ: قَالَ النَّبِيُّ : «الْعِبَادَةُ فِي الْهَرْجِ كَهِجْرَةٍ إِلَيَّ»

Kutoka kwa Ma’qil bin Yasar, Mwenyezi Mungu awe radhi naye, amesema: Mtume rehma na Amani zimshukie amesema: “Kuabudu wakati wa ghasia ni kama kuhama kuja kwangu”  .

Naye ni: Ma’qil bin Yassar al-Muzani

Naye ni: Ma’qil bin Yassar al-Muzani, Mwenyezi Mungu awe radhi naye, Abu Ali ambaye alimfuata Mtume Swalla Allaahu alayhi wa sallam na aka- simulia kutoka kwake, alisilimu kabla ya al-Huday - biyah. alishuhudia kiapo cha utii cha al-Ridwan, aliishi Basra,  akajenga nyumba huko, na Umar bin al-Khattab, Mwenyezi Mungu awe radhi naye, akamkabidhi utawala huko, na yeye ndiye aliamr - ishwa na Umar kuchimba mto huko Basra, Alikufa huko Basra mwishoni mwa ukhalifa wa Muawiyah bin Abi Sufyan, Mwenyezi Mungu awe radhi nao

Miradi ya Hadithi