عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رضى الله عنه، عَنِ النَّبِيِّ ﷺ قَالَ: «بَادِرُوا بِالْأَعْمَالِ سِتًّا: الدَّجَّالَ، وَالدُّخَانَ، وَدَابَّةَ الْأَرْضِ، وَطُلُوعَ الشَّمْسِ مِنْ مَغْرِبِهَا، وَأَمْرَ الْعَامَّةِ، وَخُوَيْصَةَ أَحَدِكُمْ»

Kutoka kwa Abu Hurayrah Mwenyezi Mungu awe radhi naye amesimulia kutoka kwa Mtume Rehma na Amani zimshukie amesema:

“Harakisheni kutenda matendo mema kabla ya kudhihiri mambo sita: Kuonekana Masihi DajjalKudhihiri Moshi,Kutokea Mnyama katika dunia,Jua Kuchomoza kutoka magharibi.Amri ya watu wote,Kifo cha mmoja wenu

Miradi ya Hadithi