عن عبدِ الله بنِ مسعودٍ رضي الله عنه، قال: كُنَّا مع النبيِّ شَبابًا لا نجدُ شيئًا، فقال لنا رسولُ الله ﷺ: «يا معشرَ الشباب، مَن استطاع الباءةَ، فليتزوَّجْ؛ فإنه أغَضُّ للبصر، وأحصَنُ للفَرْجِ، ومَن لم يستطِعْ، فعليه بالصَّوْمِ؛ فإنه له وِجاءٌ»

Kutoka kwa Abdullah bin Masoud, radhi za Mwenyezi Mungu zimshukie amesema: Tulikuwa pamoja na Mtume, ilihali tukiwa vijana, hatuna chochote, basi Mtume wa Mwenyezi Mungu Swalla Allaahu alayhi wa sallam akatuambia: 1- “Enyi kijana, anayeweza kusimamia majukumu ya ndoa basi na aoe. Ndoa Inapunguza macho na kuimarisha uke. 2- Iwapo mtu hawezi kufanya hivyo ni lazima afunge. Hakika kufunga ni kinga.
Mtume, swallallahu alayhi wa sallam, amewausia vijana kuoa, kwa sababu inashusha macho na inalinda sehemu za siri zisianguke kwenye haramu. Asiyepata uwezo wa kuoa kwa sababu ya umaskini wake, lazima afunge; hakika funga Inamlinda na majaribu. Inamlinda na majaribu