عن جَرِيرِ بْنِ عَبْدِ اللَّهِ رضي الله عنه، عَنِ النَّبِيِّ ﷺ قَالَ: «مَنْ لَا يَرْحَمُ لَا يُرْحَمُ»
عن جَرِيرِ بْنِ عَبْدِ اللَّهِ رضي الله عنه، عَنِ النَّبِيِّ ﷺ قَالَ: «مَنْ لَا يَرْحَمُ لَا يُرْحَمُ»
Jarir bin Abdullah Al-Bajali, Na anaitwa kwa kuniya ya Abu Amr, na ikasemwa: Abu Abdullah, mmoja wa masahaba mashuhuri wa Mtume. Alisilimu katika mwaka aliofariki Mtume Rehma na Amani ziwe juu yake na Mtume wa Mwenyezi Mungu akamtuma katika mji wa Dhul-Khalasah na akaubomoa. Alikuja Kufa baada ya hapo, alifariki mwaka wa hamsini na moja, na ikasemwa: mwaka wa hamsini na nne [1]
1. Rejea ufafanuzi wake katika : “Sir Al-Alam Al-Nubala” cha Al-Dhahabi (2/530), “Al-Tabaqat Al-Kubra” cha Ibn Saad (6/22), “Al-Tarikh Al-Kabeer” na Al-Bukhari (2/211).